Uteuzi wa menyu hutofautiana kulingana na modeli ya kichapishi.
Kwa modeli zenye skrini ya kugusa bonyeza ikoni moja kwa moja kwenye skrini ya kichapishi.
Kwa modeli zisizokuwa na skrini ya kugusa tumia vitufe vya vishale ili uchague vipengee. Kisha bonyeza OK (Sawa).
Hakikisha kichapishi kimewashwa na tayari kutumika.
Nenda kwenye kichapishi na uingize menyu ya kusanidi Wi-Fi kwa kufuata moja kati ya mbinu hapa chini kulingana na kichapishi chako.
Chagua .
Chagua Wi-Fi Setup (Usanidi wa Wi-Fi).
Gusa /, na kisha Setup (Usanidi).
Chagua Wi-Fi Direct Setup (Usanidi wa Wi-Fi Direct), na kisha Connection Setup (Usanidi wa Muunganisho).
Fuata maagizo kwenye skrini ya kichapishi, na kisha ubonyeze Proceed (Endelea) au OK (Sawa).
Kagua SSID iliyoonyeshwa kwenye skrini ya kichapishi.
Ikiwa haijaonyeshwa, bonyeza OK (Sawa) au , na kisha utafute na uchague SSID na kompyuta.
Ingiza nenosiri lililoonyeshwa kwenye mipangilio ya Wi-Fi ya kompyuta yako. Ikiwa haijaonyeshwa kwenye skrini ya kichapishi, bonyeza .
Maliza Usanidi wa Wi-Fi.