Fuata hatua zilizo hapa chini.
Bofya Connect (Unganisha).
Weka nenosiri lililoonyeshwa kwenye skrini ya LCD ya kichapishi kwenye Network key (Ufunguo wa mtandao) na Confirm Network key (Thibitisha ufunguo wa Mtandao).
Bofya Connect (Unganisha).