Maelezo Zaidi

Ili uhakikishe kichapishi kiko tayari kutumiwa, fuata vipengee hapa chini:
Ikiwa kichapishi kina shughuli (k.m. kuchapisha au kubadilisha wino), subiri hadi kikamilishe.
Ikiwa skrini ya kichapishi kimekuwa cheusi, bonyeza kitufe chochote kando na .
Ikiwa skrini ya kichapishi haiko kwenye skrini yake ya mwanzo, bonyeza . Bonyeza kwa modeli bila hadi ikoni ya mwanzo ionyeshwe, au bonyeza kwa modeli bila hadi skrini iwache kubadilika.