
Tahadhari: |
|
Kuwa makini usifinye kidole au mkono wako wakati unafungua au kufunga kitengo cha kichanganuzi; kama sivyo unaweza kujeruhiwa.
|
Muhimu: |
|
Usiweke kamwe printa ikiwa wima hata wakati unaweka au kuisafirisha, inaweza kuvuja.
|