Unganisha kebo ya umeme na uichopeke ndani.
Kumbuka:
Weka kichapishaji mbali na jua au kifaa cha kupoza na kupasha joto.