Kata sehemu ya juu ya kifuniko, ondoa kifuniko cha chupa ya wino, ondoa muhuri kwenye chupa, kisha ufunike kifuniko kwa kukaza kabisa.
Tahadhari:
Tumia chupa za wino zilizonunuliwa pamoja na kichapishaji chako.
Epson haiwezi kukuhakikishia ubora au utegemeaji wa wino usio halali. Utumiaji wa wino usio wa halali unaweza kusababisha uharibifu ambao dhamana za Epson hazishughulikii.