Kumbuka jina lako la mtandao (SSID) kama lilivyoonyeshwa chini ya skrini hii. Kisha chagua hii kwenye skrini ya kichapishi.
KUMBUKA:
Nenosiri linaathiriwa na ukubwa au udogo wa herufi. Huenda nenosiri lako likawa na herufi kubwa na ndogo na hata pia nambari.
Ikiwa nenosiri halijaonyeshwa hata baada ya kubofya kitufe, angalia waraka wa kipangishi njia chako kisichotumia waya (eneo la ufikiaji).
Kwa modeli zisizokuwa za kugusa skrini au modeli bila pedi ya nambari, angalia kiungo kifuatacho kwa maelezo zaidi kuhusu kuingiza herufi.