Bonyeza

ili uondoe hitilafu, kagua vipengee vifuatavyo, na kisha utekeleze tena usanidi wa mtandao.
Kagua kwamba kipangishi njia kisichotumia waya (eneo la ufikiaji) kimewashwa. Ikiwa kimezimwa, kiwashe na kisha utekeleze tena usanidi wa mtandao.
Ikiwa ulitekeleza usanidi wa msimbo wa PIN, kagua kwamba msimbo wa PIN uliowekwa katika programu ya matumizi ya kipangishi njia kisichotumia waya (eneo la ufikiaji) ni sahihi.
Weka kichapishi chapo karibu na kipangishi njia kisichotumia waya (eneo la ufikiaji).
Kagua kwamba hali ya mawasiliano ya Wi-Fi (IEEE802.11*) iliyowekwa kwa kipangishi njia chako kisichotumia waya (eneo la ufikiaji) inalingana na inayokubaliwa na kichapishi chako. (*Uonekanaji wake hutofautiana kulingana na eneo lako.)
Ikiwa kitendaji cha kuchuja anwani ya MAC kimewashwa, sajili anwani yako ya MAC ya kichapishi ili kuzuia kichapishi chako dhidi ya kuchujwa.
Kagua kama kitendaji cha DHCP cha kipangishi njia kisichotumia waya (eneo la ufikiaji) kimewashwa. Ikiwa kimezishwa, kibadilishe hadi kimewashwa.