Unahitaji kusasisha programu ya kudumu ya printa yako. Hatua hii itachukua dakika kadhaa, na huwezi kughairi usasisho huu.
Usizime kompyuta au printa yako, au kutenganisha printa kutoka kwenye kompyuta, hadi usasisho wa programu ya kudumu ukamilike. La sivyo, huenda printa ikakosa kufanya kazi inavyokusudiwa.
Ukiwa tayari kuanzisha usasishaji, bofya Ifuatayo.