Kumbuka: |
|
Kuchapisha ruwaza ya kikagua nozeli
1. Bonyeza kitufe cha
kuzima printa.2. Washa printa ukishikilia chini kitufe cha
, na kisha achilia vitufe wakati taa za nishati zinapomweka.Ruwaza ya kikagua nozeli huchapishwa.
![]() Usafishaji wa kichwa cha chapa
Shikilia chini kitufe cha
kwa sekunde 5 hadi taa ya nishati ianze kumweka.Usafishaji kichwa cha chapa huanza. ![]() |