Unahitaji kusasisha programu ya kudumu ya kichanganuzi chako. Hatua hii itachukua dakika kadhaa, na huwezi kughairi usasisho huu.
Usizime kompyuta au kichanganuzi chako, au kutenganisha kichanganuzi kutoka kwenye kompyuta, hadi usasisho wa programu ya kudumu ukamilike. La sivyo, huenda kichanganuzi kikakosa kufanya kazi kinavyokusudiwa.