Jinsi ya Kuonyesha SSID kwenye Kompyuta

  1. Fungua skrini ya uteuzi kwenye SSID unayotaka kuunganisha.
    Kwa Windows 10
    Bofya kwenye upaukazi.
    SSID zinazopatikana huonyeshwa kwenye skrini.
    Kwa Windows 8.1/Windows 8/Windows 7
    Bofya kwenye upaukazi.
    SSID zinazopatikana huonyeshwa kwenye skrini.
    Kwa Windows Vista
    Bofya kulia ikoni ya pasi waya kwenye upaukazi, na kisha ubofye Tazama mitandao inayopatikana ya pasi waya.
    SSID zinazopatikana huonyeshwa kwenye skrini ya Unganisha kwenye Mtandao pasi waya.
    Kwa Windows XP
    Bofya Anzisha > Paneli Dhibiti > Miunganisho ya Mtandao > Unda muunganisho mpya.
    SSID zinazopatikana huonyeshwa kwenye skrini ya Muunganisho wa Mtandao pasi waya.
    Kwa MacOS
    Bofya menyu ya .
    SSID zinazopatikana huonyeshwa kwenye skrini.
  2. Chagua SSID sawa ya Wi-Fi Direct kama iliyochapishwa kwenye laha ya hali ya mtandao.