Usuluhishaji

Matatizo ya kompyuta
Ikiwa programu ya usalama imezuia EpsonNet Setup chagua chaguo la kuruhusu ufikiaji.
Chagua mipangilio ya programu ya usalama ili uruhusu ufikiaji wa EpsonNet Setup kupitia ngome.
Matatizo ya Wi-Fi
Zima nishati ya kipanga-njia cha pasi waya, kisha uiwashe tena. (Warifu watumiaji wengine wa mtandao kabla ya kufanya hivyo.)
Bofya Je, una uhakika unataka kughairi?, na kisha uchapishe ripoti ya muunganisho wa mtandao. Tafuta usuluhisho kwenye ripoti.
Kulingana na matokeo ya ripoti, jaribu usuluhisho unaopatikana kwa kuchagua moja ya viungo vinavyofuata.
Kwa matokeo yaliyobainishwa: [PASS]
Kwa matokeo yaliyobainishwa: [FAIL]
Unapounganisha kifaa kwenye lango la USB 3.0 kwenye Mac, ukatizaji wa mawimbi ya redio unaweza kutokea. Jaribu yafuatayo ikiwa huwezi kuunganisha kwa njia ya pasi waya au ikiwa hatua hizo sio thabiti:
Weka kifaa kinachounganishwa kwenye lango la USB 3.0 mbali na kompyuta.
Ikiwa printa inakubali masafa ya mawimbi ya 5 GHz, unganisha kwenye SSID ya masafa ya 5 GHz.